Ilikuwa ni furaha sana kwa mdogo wangu Aqsa  Michael 
Mabula na mmewe William Brown walipofunga ndoa tarehe 31 August 2013 , 
Huko jijini Mwanza. Utukufu apewe BWANA. na achokiunganisha MUNGU 
mwanadamu asikitenganishe, pia  ndoa ni watu wawili  wa jinsia tofauti 
kuungana na kuwa mwili mmoja katika KRISTO, Sehemu ya picha za tukio 
hilo ni hizi hapa.  | 
Comments