Kanisa la T.A.G Kigogo Mburahati Limekuandalia Kongamano kubwa la UAMSHO NA MAOMBEZI.
Tarehe: 28 Oct. hadi 3 Nov 2013
Muda: Saa 10:00 – 12:00 Jioni
Wahudumu: Askofu Laurence Kameta, Mch. Sir Gilbert, Mwinjilisti Crispin Madembwe pamoja na
Mch. Sabinus Mbogo.
Kwaya zitakazo hudumu ni Kinondoni
Revival, Peace Maker Ilala na Wenyeji T.A.G Kigogo kwaya waimbaji
binafsi watakao hudumu ni Lyanga George na Sara Shira.
Wenye shida mbalimbali kama Matatizo ya ndoa, Magonjwa, waliofungwa na Mapepo na matatizo mengine yote YESU MTENDA MIUJIZA ATAYASHUGHULIKIA! NJOO UKUTANE NA MUNGU!
Kanisa liko karibu na Kituo cha Mburahati msikitini mita chache sana kuelekea barabara ya barafu.
Kwa mawasiliano 0754 995 590 au 0712 554 528
|
Comments