 |
Mchungaji
Elly Botto akimshukuru MUNGU baada ya watu kutendewa miujiza na BWANA
YESU, Kama unahitaji maombezi ni bure kabisa mtafute kwa namba hizi namba 0752965812 au pia unaweza kutafuta kwa namba 0719640642Masaa machache tu yamepita tangu ibada yenye nguvu za
MUNGU ilipotokea Kanisa la Kawe Pentecostal Church(K P C) kwa mchungaji
Elly Boto ambapo BWANA YESU ametenda miujiza ya ajabu kupitia maombezi
yaliyofanya na Mchungaji huyo pamoja na watenda kazi wengine kanisani
hapo ambapo waliokua wanateswa na uchawi, majini, mapepo ,mizimu , laana
za ukoo walifunguliwa kwa jina kuu la YESU KRISTO waliokua hawawezi
kutembea wanatembea sasa tukio la jabu zaidi ambalo Maisha ya ushindi
tumeshuhudia ni dada mmoja ambaye alikuwa amechukuliwa ufahamu wake
kichawi na aliyemchukua ufahamu huo ni bibi yake lakini maombezi ya leo
yamemfungua. Pata picha za maombezi hayo na miujiza iliyotokea na pia
kama unahitaji ushauri na maombezi ya aina yeyote wasiliana na Mchungaji
Elly Boto kwa namba 0752965812 au pia unaweza kutafuta kwa namba
0719640642. Pia unaweza kumtafuta mzee wa kanisa kiongozi kwa namba
0657361222. Na maombezi haya ni bure kabisa maana ni agizo la MUNGU
alilosema wekeni mikono kwa wagonjwa nao watapata afya. tukio la ibada
ya leo ni hili hapa. |
 |
Comments