NDANI YA MLIMA WA MOTO JUMA PILI ILIYOPITA ; MAELFU WAFUNGULIWA KUTOKANA NA KUPONYWA MAGONJWA YA KILA AINA
Mchunga Msaidizi Noah Lukumai
Mchungaji Sebastian akiwa kazini
Mchungaji Prisca
Askofu Mlisa kutoka mwanza akiwasha moto wa Injili
Edon Mwasabwite akiwa kazini
Haijawahi kutokea, imekuwa ni jumapili ya kufunguliwa kutokana na
vifungo mbalimbali. Tumeshuhudia mamia ya wageni wakihudhuria ibada ya Mlima wa
Moto. Katika ibada hiyo, pia mamia ya watu wamempokea Bwana Yesu.
Mlima wa Moto, kimekuwa ni kituo kinachowasaidia maelfu ya watu. Wengi
wameponywa, wamefunguliwa na kuwekwa huru kabisa.
Je una shida au tatizo linalo kusumbua? Je tatizo lako ni ndoa yako,
ugonjwa, kutafuta kazi, kutengwa au kukataliwa? Karibu Mlima wa Moto.
Comments