SHUHUDA KWA UHAKIKISHO






  Kwa YESU KRISTO rahaa
,hakuna magonjwa,hakuna vilio
 hakuna masumbuko.
Mwana wa MUNGU akishuhudia jinsi MUNGU alivyomtendea maajabu.Kwa wale wenye imani haba amewaletea utrasound kwa uhakikisho.Halafu nitoke kwa YESU,mwanaume wa wanaume niende kwa nani mimi???? 
MUNGU kamtendea muujiza dada huyu katika kanisa la Efatha Mwenge kwa mtumishi wa MUNGU Josephat Mwingira.

Comments