Asante BWANA Wetu YESU KRISTO BWANA, Kwa Kumchagua Mtumishi wako Mwaminifu Uliyempenda sana kumpa na KUMTUMA na Kumpa KUSUDI ili Aliandae Kanisa lako Tayari kwa Unyakuo, Kanisa lisilokuwa na Manyaaa,... Asante BABA, Asante YESU.
''Kabla ya Mkutano huu/ Kusanyiko hili kuisha, Matatizo yenu, Vilio vyenu vyote vitakwisha...."
(Kipindi cha Mahubiri na Mafundisho Sasa hivi kinaendelea kutoka Kusanyiko la BWANA MUNGU Wetu MKUU 2013 katika Mji wa BWANA Kibaha Precious Centre).
''Wewe ndiwe MPENZI WA MOYO WANGU, Ulifanya njia Jangwani, Huwezi KUSHINDWA, Wewe ni MUNGU BABA, Wewe Unabaki vile vile ni BWANA, BABA Unastahili KUINULIWA JUU,.... Tunaungana na WAZEE 24 kule Mbinguni, tunasema WEWE NI BWANA, Wewe ni BABA, Ooooh Wewe ni MUNGU, Haleluya..... BABAAAAA.''



Comments