SIKU YA TATU YA KUSANYIKO LA EFATHA 2013


 Watumishi wa MUNGU Wachungaji Viongozi na Wa Vituo...

  Mtumishi wa MUNGU, Mchungaji Kiongozi Efatha Ministry- Kenya Mchungaji Kikoti, akiwasindikiza kabila la Wahehe kutoka Iringa, wakimwadhimisha MUNGU WETU MKUU katika kusanyiko la BWANA 2013 Kibaha Precious Centre.

 
Mwanamuziki Jane Misso akimuinua MUNGU Wetu MKUU kwa Nyimbo za Sifa na Kuabudu katika Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU Wetu MKUU Kibaha Precious Centre 2013.


Oooh Haleluya,... MASHANGILIO.

 
Ndani ya YESU BWANA Wetu Ni FURAHA, AMANI TELE, Haleluya!!!

 
  OOooh Haleluya,... Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU WETU Aliye HAI, MUNGU MKUU,... Mwaka wa Mashangilio... Mh. Naibu Waziri Lazaro Nyarandu akiwa na Furaha na Amani mbele ya Madhabahu ya KItume na Kinabii katika Mji Mtakatifu wa BWANA MUNGU WETU, Kibaha Precious Centre, Akicheza na Kusifu mbele za BWANA MUNGU Wetu MKUU, Astahiliye YEYE KUCHEZEWA na KUTUKUZWA na KUABUDIWA PEKE YAKE, PEKE YAKE MUNGU BABA MKUU, Haleluya Asante YESU, Asante BWANA.


 Mh. Naibu Waziri Lazaro Nyarandu Akimchezea na Kumwimbia MUNGU WETU na BABA YETU Aliye MKUU Aliye HAI,... Asante YESU!

 Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Mh. Lazaro Nyarandu akiwa katika Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU WETU Aliye HAI MKUU,... pichani Mh Naibu Waziri akiwa na Watumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira na Mama Eliakunda Josephat Elias Mwingira.

 Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akiwa pamoja na Mh. Naibu Waziri Lazaro Nyarandu, Mh. Waziri Akiwasalimia Wana wa MUNGU Wana Efatha katika Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU Wetu 2013 Kibaha Precious Centre Mji Mtakatifu wa MUNGU Wetu MKUU.


Comments