UPONYAJI WA NGUVU UNATEMBEA KATIKA KATIKA LA PENTECOSTAL KAWE.



Roho za mizimu zikimwachia dada huyu katika maombezi P A G kawe


Maisha ya ushindi jana tumeshuhudia matendo makuu tena ya ajabu ya MUNGU kupitia mtumishi wake Apostle Chris ama kwa jina maarufu Manoki wa manoki kutoka Eldoret Kenya ambaye anaendesha semina ya neno la MUNGU ya wiki moja kuanzia tarehe 28/10/2013 hadi tarehe 03/10/2013 katika kanisa la Pentecostal Assemblies of GOD (P A G) Kawe ambapo siku ya jana miujiza mikuu ya YESU KRISTO ilionekana isivyo kawaida ambapo watu walifunguliwa kutoka laana za ukoo, mateso ya mapepo na majini, kupona uvimbe tumboni,kupona kifua kikuu, na mengine mengi. Ndugu muda wa wewe kufunguliwa bado upo hivyo unakaribisha kanisani hapo kuanzia saa 10 jioni hadi saa 12 jioni kila siku hadi tarehe 2 na taehe 3 itakuwa ni hitimisho kuanzia saa 3 asubuhi , kwa mawasiliano zaidi usiache kuwasiliana na Mchungaji mwenyeji Pastor Elly Boto kwa simu namba 0752965812 au 0719640642 ambapo utaelekezwa na kufika kwenye maombezi ambapo ni bure kabisa pia Mzee wa kanisa kwa namba 0657361222. MUNGU akubariki sana na karibu sana kanisani upokee muujiza wako pia mtumishi wa MUNGU apostle  ameambatana na Mchungaji Magreth pamoja na Pastor Onamu kutoka kisumu huko huko Kenya.
Shuhudia baadhi ya matukio ya kufunguliwa kwa watu wa MUNGU jana .
asante YESU kwa uzima

Apostle Chris kutoka kenya akijiandaa kufundisha neno la MUNGU
Pastor Magreth Kutoka kenya akishuhudia matendo ambayo MUNGU amemtendea
Schollar Mungusa akipokea uponyaji
Dorkas akifunguliwa
Nguvu ya MUNGU ikimfungua mama huyu aliyeteswa kwa mika mingi

Comments