Mchungaji kiongozi Josephat Gwajima akiwa na Martha,
katika picha, amabye ana umri wa miaka36, alikuwa akisumbuliwa na tatizo la miguu
kuvimba na kuumwa kiuno kwa muda mrefu sana, jambo lililosababishwa na ajali ya
pikipiki. alikuwa akielezea huku akibubujikwa na machozi ya furaha
mara baada ya kupokea uponyaji wake. Alishuhudia mbele ya madhabahu kuwa
ameteseka na tatizo hili kwa muda mrefu sana na amekuwa ana kwenda hospitalini mara kwa
mara bila mafanikio yoyote. Sifa apewe Yesu aliye mponyaji wa Kweli.
|
Comments