ZARES WAZINDUA RASMI VIDEO


 Kwaya ya Zanzibar Revival Singers imefanya uzinduzi wa nyimbo zao za sauti na picha jana tarehe 27 Octoba 2013 Uzinduzi huo umeongozwa na Baba Askofu Dickson Kaganga huku Mgeni rasmi akiwa ni mwakilishi wa Balaza la wawakilishi Zanzibar Mheshimiwa Marina Thomas na Harambee ya kuchangia ikiongozwa na Mtumishi wa Mungu MC Amos kutoka Dar-es-salaam

Askofu Dikson kaganga akimwongoza mheshimiwa Marina Thomas kuelekea kanisani
Baba Askofu Dikson Kaganga akiwaongoza wachungaji wa Zanzibar kuweka wakfu Albamu

Kwaya ya Zares wakijiandaa kuingiza kanisania
Umati ukifuatilia harambee hiyo


Mama Askofu Ester kaganga akifuatilia harambee

Comments