Hivi ndivyo Concert ya Christina Shusho ilivyofana ndani ya CCC Upanga jijini Dar es Salaam..


 
 
 
Christina Shusho na kundi la the Voice

Shikamooo Samuel Yonah shikamooo sana wewe ambaye ni Music Director wa Live Recording ya TAFES SAUT Mkoani Mwanza, Music Director wa Minza kwenye Live Recording, Music Director wa Albam ya sasa ya John Lisu, Music Director wa Live Recording ya Christina Shusho.

Sikuwa waza kuwa ule Wimbo wa "THAMANI YA WOKOVU WANGU" unaweza kuwa safi kuliko ulivyokuaga mwanzo. Shikamooo Sanaaaaa. Sam Mboya, Danny Big-rube Silandah, Daniel Brown Mfwango, Moses na Aman Issayah kapama.

Naomba kuweka ringtone ile arrangement.

Shikamoo Sana...
Music Director Samuel Yonah
Christina Shusho na Upendo kilahiro on the stage
Upendo Kilahiro ,Christina Shusho na Joshua Mlelwa wakienda sawa
Moses Zamangwa akienda sawa na Saxaphone

Comments