MCHAWI MAARUFU ADONDOSHWA NA NGUVU ZA MUNGU VIJIJI VYA MSATA!


Makomandoo wa VHM wakiwa katika Operation ya kusambaratisha kazi za shetafajilini baada ya maombi mazito mama aliyekuwa na tumbo kubwa akidhaniwa ni mjamzito kumbe hakuwa na mimba yoyote. Baada ya maombi mazito chini ya usimamizi wa makomandoo ya Yesu kupitia VHM alijikuta akitapika meno ya mbwa, nywele na vitu visivyojulikana. Siku chache baadaye kutokana na nguvu ya maombi yaliyokuwa yakifanywa na makomandoo ya Yesu hapo kijijini saa 8.45alfajili mchawi aliyekuwa akiruka angani kuelekea Bagamoyo alivutwa na nguvu za Bwana na kujikuta akidondoka chini kutoka angani na hakuweza kufanya kitu chochote tena.

Comments