Katika Tamasha la Live Recording ya Christina Shusho... anategemea
kuafanya collabo na waimbaji kadhaaa akiwepo Bro Joshua MLELWA ambaye
mie binafsi yangu namkubaligi mbaaaya... i mean mbaaaya!!!! kwa wasio
mfahamu Joshua aling'ara saana akiwa na kundi la Upendo Group kabla haja
simama kivyake pamoja na mkewe. Huyu jamaa ananguvu ya ajabu saana
awapo jukwaani and he is very anointed... Nakumbuka nilikuwa naye kwenye
hudumua katika kanisa moja kahama wimbo wake wa "Ni wewe" ulitibua hali
ya hewa kwa nguvu za Roho mtakatifu isivyo kawaida... Sasa TAREHE 24
pale CCC UPANGA, ataimba nyimbo zake lakini pia atafanya wimbo maalumu
pamoja na CHRISTINA. Waimbaji wengine ambao watafanya collabo na Shusho
ni UPENDO KILAHIRO na kundi la THE VOICE. DONT PLAN TO MISS THIS BIG
EVENT.
Comments