Siku ya mwisho ya semina Kawe Pentecotal church.





mchungaji Onamu kutoka Kisumu Kenya

katika siku ya mwisho ya semina iliyoendeshwa na mchungaji Onamu kutoka Kisumu Kenya katika kanisa la Kawe Pentecostal Church ambapo watu walifunguliwa na kupokea uponyaji katika jina la YESU KRISTO aliye hai.  hizi ni baadhi ya picha katika ibada hiyo. pia kwa ushauri na maombezi na uponyaji bure kupitia jina la YESU KRISTO wasiliana na Mchungaji Elly Boto kwa namba 0752965812

Comments