...Get Moving Forward  
Watu Zaidi ya 100 walimpa Bwana Yesu Maisha yao kwenye 
Mkesha Huo.
  
NI tukio Kubwa yenye Kukusanya wanafunzi kutoka katika Vyuo Vikuu Nchini 
yenye Jina la Campus Night yenye lengo la kuvuna watu kuja kwa Yesu na hii  ni Kutoka Mkoa wa Mbeya 
 
Ni mkusanyiko mkubwa inayokadiriwa 
kukusanya wanafunzi zaidi ya 1500 ilikuwa na ujimbe  yenye jina la "Get 
Moving Forward" Ambapo ilipambwa na  mambo mbalimbali kama vile Waimbaji
 wa Nyimbo za Injili kama Neema Mwaipopo 
anaye pendwa sana katika 
Mkoa wa Mbeya kama mtoto wa nyumbani.
  | 
Neema Mwaipopo
 | 
 Pia  Band Kongwe ya New Life Band ilikuwepo 
Pamoja na Mass Choir 
iliyoongoza kusanyiko hilo
Kwa
 pamoja walifanya huduma ya kusifu na kuabudu ambapo utukufu wa Bwana 
ulidhilika kwa watu wote walikuwepo katika mkusanyiko huo  uwepo wa 
Mungu uliangaza  kwa namna ya 
tofauti na ajabu sana hakika ilikuwa njema .
Watumishi
 wa Mungu  walio hudumu ni Pastor Joel Nanauka alikuwa ni mmoja Ya Mnenaji siku hiyo 
  | 
| Pastor Joel Nanauka | 
 Bishop Nicodemus nae alikuwa mnenaji katika kusanyiko hilo,
  | 
| Bishop Nicodemus Shaboka Jr   | 
Dr. Zabdiel Kimambo nae alikuwa 
mmoja wa wanenaji 
 
Dr. Zabdiel Kimambo akiwa na mke wake
Na Ze Blogger Samweli Sasali alikuwa alikuwa akiongonza shughuli iyo  kama MC  
  | 
Samweli Sasali
 | 
  | 
Sasali katika huduma
 | 
Baadhi ya Wanafunzi wa vyuo  wakifanyiwa maombi
 
  | 
Mwandishi Athony Darmacy  wa apostledarmacy.blogspot.com
 | 
Picha hizi ni kwa Hisani ya Samweli Sasali na Anthony Darmasy Mwandishi (blogger) wa http://apostledarmacy.blogspot.com/
Uwaweza ku share na rafiki zako 
 
 
Comments