HUU NDIO UKWELI, UZURI NA UTAMU WA BIBLIA




Swali: Sura gani ya Biblia ambayo ni fupi kuliko zote? 
Jibu: Zaburi 117

Swali: Sura gani ya Biblia ambayo ni ndefu kuliko zote? 
Jibu: Zaburi 119

Swali: Sura gani iliyo katikati ya Biblia?
Jibu: Zaburi 118

Ukweli: Kuna Sura 594 kabla ya Zaburi 118
Ukweli: Kuna Sura 594 baada ya Zaburi 118
Ukijumlisha Namba hizi unapata 1188. Na ukiongeza na hiyo sura ya katikati yaani Zaburi 118 unapata sura 1189 ambazo ndizo sura za Biblia nzima

Swali: Mstari upi wa katikati ya Biblia?
Jibu: Zaburi 118:8

Je Mstari huu unaongelea chochote cha maana kuhusu mpango mzima wa Mungu kwa maisha yetu?

Mara nyingine mtu akisema angehitaji kujua 
Mpango kamili wa Mungu kuhusu maisha yake na wakati huo huo anataka kuwa
Katikati ya mipango yake,
Basi muweke mtu huyu kati ya maneno yake!(yaani usiongee kitu nje ya maneno yake)

Zaburi 118:8 
"Ni bora kuamini katika BWANA kuliko kumwamini binadamu."
Je kwa mpangilio huu haishangazi kwa jinsi ilivyotokea (au MUNGU alikuwa katikati yake)?



"Baba MUNGU mpe baraka rafiki yangu kwa chochote ukijuacho 
kuwa yeye anakihitaji siku ya leo! 
Na Maisha yake yajae Amani yako, 
mafanikio na nguvu kama anavyohitaji kuwa karibu na wewe. 
Amina"
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12

Comments