IBADA YA CHRISTMAS ZANZIBAR, WATU 4 WAOKOKA TAG KARIAKOO


WAUMINI

WAKATI WA SIFA

REV JONAS MKOBA

BISHOP KAGANGA

WALIOOKOKA WAKIONGOZWA SARA YA TOBA

na ifuatayo ni meseji fupi ya askofu Dickson Kaganga.


"Wapendwa washirika wenzangu wa City Christian Centre na marafiki wote wa CCC, Nawatakia Heri ya Christmas na heri ya Mwaka mpya 2014.Ni maombi yangu kuwa Mungu atusaidie sote tumalize mwaka 2013 na kuingia mwaka 2014 kwa nguvu za Mungu.Ujumbe wa majira haya ya Christmas ni 'MSIOGOPE KWA KUWA MIMI NINAWALETEA HABARI NJEMA YA FURAHA KUU ITAKAYOKUWA KWA WATU WOTE' Luka 2:10".

BISHOP D.D KAGANGA THE MAN OF STANDARD AND  BALANCED GOSPEL, THE BISHOP OF TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD CHURCHES ZANZIBAR AND SENIOR PASTOR OF  CITY CHRISTIAN CENTRE KARIAKOO ZANZIBAR

 Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12