Mkutano mkubwa January Handeni ,Tanga; Ficha vitu vyako kwa YESU mwaka 2014

ni wakati mwingine APOSTLE JOHN KOMANYA NA APOSTLE DALE USEY NA EV.JAMES SAMWELI  pamoja na watenda kazi wake watua HANDENI-TANGA VIWANJA VYA CHANIKA SHULE . njooni wote wakazi wa tanga na wenye mguso wa kutenda kazi ya mungu tuanze mwaka na bwana. TUTAFICHA VITU VYETU KWA BWANA KUWAFUNGUA WALIO FUNGWA NA MAPEPO.
mkutano utaanza tarehe 2/hadi5/1/2014.tunawakaribisha 


 
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12

Comments