MKUTANO MKUBWA WA INJILI DAR,KITUNDA RELINI.

kupitia mikutano ya injili kama hii, BWANA YESU hutenda miujiza yake kwa kuwafungua watu waliofungwa na magonjwa na nguvu za giza, karibu  kitunda relini ndugu

Kwanza nianze kwa kukusalimu mpendwa;
Bwana Yesu asifiwe...
Haleluya...

Napenda kuwakaribisha wapendwa wote katika mkutano wa injili utakaofanyika kitunda-relini.
Ni mkutano wa siku tatu,
*Siku ya Alhamisi ya tar.12/12/2013
*Siku ya Ijumaa tar.13/12/2013
*Siku ya Jumamosi tar.14/12/2013.

Muda;
Kuanzia saa kumi jioni mpaka saa kumi na mbili jioni.

Watumishi mbali mbali watahudumu pamoja nami,
Watakuwepo wachungaji
Wainjilisti N.k
Pamoja na baadhi ya wanamuziki wa injili wa Tanzania pia watakuwepo.

Mnenaji mkuu atakuwa Mwinjilisti Musa Gwau,
Mwinjilisti alipakwa mafuta kwa ajili ya kazi ya BWANA,
Akishilikiana nami kumuinua BWANA.

HAKIKA HII SI YA KUKOSA!
Usipange kukosa mkutano huu,kwa wakazi wa Kitunda,na pande zote mjeee.
Njoo wewe na mwingine,tukamuabishe shetani na mapepo yake yote.
UBARIKIWE.
By Mtumishi wa MUNGU Gasper Madumla.
Bwana Yesu asifiwe...

Comments