Skip to main content
Semina kubwa na mkesha wa nguvu ATN
Uongozi wa ATN wanakuletea Semina kubwa ya Neno la Mungu itakayoanza
January 1 - 4 kila siku jioni ikiambatana na mkesha mkubwa utakaofanyika
siku ya ijumaa ya tarehe 3 kuanzia saa 3 usiku. Waimbaji mbalimbali
watasifu, watumishi mbalimbali watahubiri na kufanya maombi maalum kwa
kila mtu.
Hakuna kiingilio na watu wote mnakaribishwa.
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12