Mwimbaji
wa muziki wa injili Solomon Mahlangu kutoka nchini Afrka Kusini akiimba
jukwaani kwenye uwanja wa Taifa katika tamasha kubwa la Krismas
lililofanyika jijini Dar es salaam likishirikisha waimbaji wengi kutoka
nchi mbalimbali za afrika wakiwemo waimbaji wa Tanzania.Waimbaji wa mwimbaji Solly Mahlangu wakiimba jukwaani Mashabiki wakicheza staili ya saluti na mwimbaji Solly MahlanguHakuna aliyekuwa amekalia kiti chake wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani akifanya vitu vyake.Hapa ilikuwa kila mmoja akinyanyua kitambaa chake juujuu ili mradi burudani tu.Mgeni
rasmi Waziri wa nchi katika ofisi ya waziri mkuu Uratibu wa Sera na
Bunge Mh. William Lukuvi akizungumza katika tamasha hilo na kuwashukuru
waimbaji wa muziki wa injili kwa kuendelea kuhubiri amani nchini lakini
pia akawahakikishia kwamba serikali kitahakikisha amani iliyopo inadumu,
kulia ni mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama na katikati ni
Ezekiel Maige Mbunge wa jimbo la Msalala jijini Dar es salaam.Mwimbaji
Ephraim Sekereti akiwa na Living Waters akitumbuiza kwenye uwanja wa
Taifa wakati wa tamasha la Krismas linaloandaliwa na kampuni ya Msama
Promotion ya jijini Dar es salaam Mwimbaji Rose Muhando akiimba na kucheza kwa hisia mbele ya mashabiki wakeGrolius Worship Team wakiimba jukwaani.Mwimbaji Upendo KirahiroMwimbaji wa muziki wa injili Boni Mwaiteje Boni Mwaiteje akionyesha uwezo wa kucheza na masteji shoo wake
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12
Living Waters Kutoka makuti Kawe wakiwakilisha |