Tazama Picha za Kundi la Joyous Celebration wakifanya Live Recording ya Joyous 18 nchini Afrika Kusini ndani ya City Hill Church huko Hillcrest, Durban
![]() |
| Sabu mpiga ngoma machachari wa kundi hilo |
![]() |
| Lungelo Gcobo,,,pianist wa kundi hilo katika Joyous 18 |
![]() |
| Altos....wakienda sawa ndani ya Joyous 18 |
| Mamia ya watu wakiingia katika ukumbi tayari kwa kushuhudia Live Recording yao Joyous 18 |


![]() |
| Nhlanhla Zoo na Puleng March on Duo! #JoyousCelebration18 |
![]() |
| Nomandla akiwa stejini akirindima kwa vocal matata |
![]() |
| Gcina on stage |
![]() |
| Nwabina mmoja wa katika mavocalist wa Soprano |
![]() |
| Hlengiwe Ntombela akiongoza watu katika kuabudu |
![]() |
| Nthabiseng Motsepe |
![]() |
| Andiswa and Mnqobi wakitiririka na moja ya wimbo katika Joyous 18 |
![]() |
| Mnqobi akirindima na Chords kwenye kinanda |
![]() |
| watu wakienda sawa |
![]() |
| Sbu Mthembu closing up first set! |
![]() |
| Nwabisa na Nsiko Shandu wakipiga Colabo katika wimbo. |
![]() |
| Xoli and Nomthi ndani ya Colabo la kipekee |
| Ayanda Shange akivunja ma break dance |
![]() |
| Bheka Mthethwa akiungurumisha bass guitar |
![]() |
| Pastor Jabu Hlongwane ons stage. |
![]() |
| Dr Sylvester on stage akiongoza sifa |
![]() |
| sabusatsha |
![]() |
| Mercy and Sphumelele wakipiga kolabo la kipekee |
![]() |
| Mkhululi Bhebhe kama kawaida yake hua hafanyi makosa pale akishika Microphone |
| Xolani Mdlalose akihitimisha |
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12























