Unawaza nini Juu ya BWANA wewe, ili akomeshe Tatizo lako linalokusumbuwa siku nyingi,


Ukaniite Siku ya mateso yako Nitakuokowa,
Yohana 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Si mpango wa Mungu uendelee kuteseka Ndugu yangu Msaada umepatikana ni wewe kuwa tayari kuutumia unaihari kukataa au kukubali Mungu Akuhudumie wengi wanateswa na Muovu na hawajui hilo nalo ni Tatizo kubwa sana Mtu kukotambuwa tatizo lake, ndiyo maana watu wanafunguliwa toka katika Magereza kwa muda mfupi wanajikuta wamerudi tena huko sababu ni kutotambuwa namna ya kujilinda na uovu, ukisha funguliwa haiishii hapo unatakiwa kuendelea kumwita Mungu  ili uweze kuwa salama,
Mtumishi  wa Mungu akiwa anamfanyia Maombi ya kufunguliwa  Mama huyu,alifundisha namna ya Mtu kusimama na Neno la Mungu na kujifunguwa yeye Mwenyewe, kukaa kimya kwako hakukusaidii  kisa unaogopa kuonekana si Mstarabu  Ustarabu si kukaa kimya bali ni kuliishi Neno la Mungu na kukaa mbali na dhambi,
Mtumishi alisema Tatizo siyo mtukuponywa bali tatizo ni kuutunza Muujiza wako,  akatoa mfano kutafuta Pesa si tatizo ukisha zipata Pesa je unaweza kubaki nazo au kwako zinapita tu, kazi kubwa ni kutunza na si kutafuta, wengi wamesafiri huku na kule kutafuta miujiza wakishaipata wanaipotezea njiani wakiwa wanarudi nyumbani
Sawa sawa na mtu kukombolewa au kuokoka tatizo siyo kuokoka bali tatizo ni kujitunza katika maisha matakatifu, na ili Mungu akomeshe mateso yasirudi tena anataka kujuwa wewe unawaza nini juu yake,
 

Unawaza Nini juu ya Bwana ili akomeshe mateso yako?

Ili Mungu akomeshe mateso yako anataka kujuwa baada ya uponyaji unawaza nini juu ya yeye Mponyaji, si kwamba ukisha pona unaanza Mbiyo kwenda kuendelea kama kawaida hapana badilisha njia iliyokusababishia matatizo na anza kupita njia Salama kwako, uchaguzi ni wako,
aliyaongea hayo Mtumishi wa Mungu Samson kabla ya kumfanyia maombi Mama aliyakuwa ametumiwa mapepo bila yeye kujuwa,
Ushahuri na maombezi ni Bure kabisa, unaweza ukaja pale kanisani au ukapiga simu, itapokelewa na Mpakwa Mafuta wa bwana,,,,,,,unaweza ukaendelea kufuatilia masomo haya kila siku, au kununua CD Vitabu vya mafundisho vya Mtumishi wa Mungu, asante kwakushiriki mahali hapa na Sisi karibu tena mwalike na Mwenzao na unaruhusiwa kuyatumia mafundisho unayoyakuta hapa isipokuwa kubadilisha kanamna Yeyote ile,
 
 Ushahuri au Maombi piga simu Ongea na Mtu wa Mungu Nabii Samson live Ni Bure masaa 24 siku saba za juma piga sasa 0756 809 209 Beeping Hazitajibiwa, barua Pepe tuma kupitia samsonmboya18@yahoo.com
 
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12