WATAMBUE BAADHI YA WAIMBAJI WALIO TOKA KWENYE NYIMBO ZA KIDUNIA NA KUHAMIA NYIMBO ZA INJILI BAADA YA KUOKOKA

UNAWAFAHAMU VIZURI HAWA??

STARA THOMAS
SIZE 8

Kashumba Basil(K.BASIL)
BEATRICE WILLIAM, Albamu yake iko tayari kabisa sokoni unaweza kumtafuta kwa namba 0658402366

BEATRICE WILLIAM(FROM BSS) ENZI ZILE ZA MZIKI WA KIDUNIA
BEATRICE WILLIAM BAADA YA KUOKOKA , HAPA AKIMTUMIKIA MUNGU HUKO KIGAMBONI.
EMMANUEL MGAYA (MASANJA MKANDAMIZAJI)

MUNGU awabariki sana na habari hii ni maisha ya ushindi kwa ushirikiano na www.injiliforever.blogspot.com.

Comments