![]() |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Maaskofu wa Kanisa Katoliki baada ya Ibada ya Jubilei ya
miaka 50 ya Kanisa Kuu la jimbo la Arusha iliyofanyika mjini Arusha (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Katika Jubilei hiyo ya miaka 50 ya
Kanisa Kuu la jimbo la Arusha viongozi mbalimbali walikuwepo
kuhudhilia akiwemo Waziri Mkuu Msaafu Edward Lowasa