Yaliyojiri katika siku ya kwanza ya mkutano wa Mtume Peter Nyaga, Tabata Kimanga

Mamia wakimpa YESU KRISTO maisha yao, na mtumishi wa MUNGU Peter Nyaga akiwaombea
Siku 9 za miujiza na  uponyaji zinaendelea katika viwanja vya serikali za mitaa Savana huko Tabata ambapo mtumishi wa MUNGU Mtume Peter Nyaga anaendelea na mkutano wa siku 9 wa maajabu na kufunguliwa ambapo maelfu ya watu wamekuwa wakihudhuria, mpendwa bado hujachelea kwani ni hadi tarehe 5 January 2014 ndio itakuwa siku ya mwisho.

Zacharia Kenyata katika kumtukuza MUNGU
Mtoto wa miaka 6 akimtukuza MUNGU katika siku ya kwanza ya mkutano wa mtume wa urejesho, Peter Nyaga

Christina Matai akiimba katika mkutano huo , Tabata Kimanga
Zacharia Kenyata akiimba
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12