![]() |
Astelia Chilambo baada ya maombezi |
![]() |
Astelia akishuhudia baada ya kupona pembeni ni mmoja wa watenda kazi wa Efatha |
HALELUYA sasa Astelia Ni MZIMA wa Afya Njema na Anafanya VIZURI katika Masomo yake, SIFA KWA BWANA WETU YESU KRISTO ALIYE HAI ALFA na OMEGA, Asante YESU BWANA kwa KUTUPENDA SANA na Ukatupa KUSUDI HILI (EFATHA: Uponyaji na Ukombozi, Watu WAWEKWE HURU), Asante YESU, Tunakupenda BWANA, Asante.
(Na Wewe uko unayeteseka, Jua KWAMBA YESU Anakupenda sana, YESU Anakuambia NJOO SASA, Naye ATAKUWEKA HURU, ANAKUPENDA, Njoo kwa YESU)

Comments