Askofu Mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa |
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dr Alex Malasusa
amewahamasisha wakristo kote Nchinikujihusisha na ujenzi wa Makanisa na
Kuhudhulia Ibada na na kupunguza uharifu katika jamii.
Mkuu wa Kanisa hilo wakati wa harambee ya ujenzi wa Kanisa la Usharika
wa Sumbawanga mjini na mkoani Rukwa,ambapo alifafanua kuwa endapo kuwa
jamii itajihusisha na ibada ipasavyo Serikali haitakuwa na haja ya kuwa
na magereza mengi.
Chimbuko la Kujenga Kanisa lililotokana na ongezeko la idadi ya wauminui
na uchakavu wa Kanisa la zamani lililojengwa mwaka 1982 hivyo kutokidhi
mahiutaji ya waumini hufikia 400 tofauti na awali.
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12
Comments