Skip to main content
KAKA MKUBWA WA MCHUNGAJI SHUSHO MAREHEMU GERALD ELISHA AFARIKI DUNIA
Christina Shusho, akionekana mwenye huzuni wakati wa kuuaga mwili wa mzee Elisha
John shabani akiwa ameshikilia picha na msalaba wa mzee Elisha
Baadhi ya maaskofu na wachungaji
Wengi wamedondoka chini wakati wa kuuaga mwili
Ni kipindi cha majonzi na huzuni kubwa kwa familia ya Mchungaji Shusho
(Mume wa Christina Shusho) kwa kuondokewa na kaka mkubwa, ambaye ndiye
aliyekuwa amebaki kama Baba wa familia hiyo. Mamia ya watu wakiwemo
maaskofu, wachungaji, marafiki wa karibu, wamejitokeza maeneao ya Tabata
kuuaga mwili wa mzee huyo.
Mzee Elisha, amekuwa mwalimu kwa miaka mingi na kujizolea heshima kubwa
ndani nan je ya nchi. Inawezekana ulikuwa hujazipata habari hizi, basi
nikiwa ndugu na rafiki wa karibu wa familia ya Shusho, nakujulisha
rasmi.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake na lihimidiwe
Source: John Shabani Blog
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12
Comments