Mheshimiwa Lowasa katika ibaada ua shukrani na ubarikio


Msaidizi wa askofu wa KKKT dayosisi ya Arusha Gabriel Kimirei akisalimiana na mke wa waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa,mama Regina Lowassa wakati wa Ibada ya ubarikio wa mtoto wa mwenyekiti wa ccm Arusha Onesmo Nangole iliyofanyika katika kanisa la KKKT Longido.Pembeni Mh Lowassa akitabasamu.
Mh Lowassa akiwa na First Lady wake mamaa
Regina Lowassa
wakiwa katika nyuso za furaha

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akiwa na mkewe mama Regina Lowassa katika Ibada ya shukrani na ubarikio wa mtoto wa mwenyekiti wa ccm mkoa wa Arusha Onesmo Nangole kwenye kanisa la KKKT Longido....




Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12

Comments