MUNGU ANATAKA NINI KUTOKA KWETU.





Nyakati hizi tulizo nazo ni za hatari kwani watu hawapendi kumjua au hawamjua Mungu aliyehai kwamba ni nini anachotaka sisi tufanye.Anataka tuwe watakatifu na kuishi katika toba yaani tunapokumbuka kuzaliwa kwa Bwana Yesu tunapaswa toba kwa maan ya tujutie dhambi zetu,kwa maana ya kuziacha,ili tubadilike,na tuanze mwanzo mpya.Mungu anataka kutoka kwetu
1.Mche Mungu.
2.Nenda katika njia zake zote.
3.Mpende Mungu.
4.Mtumikie Mungu.
5.Shika amri na sheria za Mungu.
6.Tenda haki.
7.Penda rehema.
8.Nenda kwa unyenyekevu na Mungu wako.Kumb 10:12-13,Mika 6:8
TAHADHARI:
1.Tusimpe ibilisi nafasi-kupenda sifa na pesa.Efe 4:27
2.Tusiongeze wala tusipunguze neno la Mungu Ufunuo 22:18-19.
3.Tusije tukakataliwa 1Kor9:27,Mathayo 7:21
MUNGU ANAPENDA TUWE WATAKATIFU.KRISMASI NJEMA WATU WA MUNGU.

                            Evangelist Erick Mwasyoge
 

 Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12

Comments