MUNGU NI NANI? HILI Ni swali ambalo
ni lazima kila mtu anaye taka kujua juu ya
amani,uzima,mafanikio,ulinzi,malazi
bora katika maisha yake ni mhimu kujiuliza
swali kama hili.
Maisha ni maendeleo na changamoto
mbalimbali anazo kutana nazo mwanadamu
mabadiliko na uwezo anaokuwa nao mtu
yeyote kulingana na hatua za ukuaji
ikifuatana na mabadiliko yanayojitokeza
kataika mwili wake na maisha yake kwa
ujumla.Pia katika kuendelea huku
mwanadamu anakuwa na maono mbali mbali
kulingana na changamoto anazo kutana
nazo.
KUNA MUNGU WENGI KATIKA DUNIA
Nikweli kuwa duniani kuna mungu
wengi ,MUNGU NINI? Swali hili ni lamhimu
katka somo letu .Mungu ni uweza
,uubaji,nguvu zenye kuleta matokeo amabayo
mwanadamu hawezi kuhusika hata
kdogo,ufanisi,ulinzi,uendeshaji wa maisha ya
mwanadamu.
Tunajua kuwa sisi tuliumbwa na MUNGU
pia vitu vyote vinavooonekana na visivyo
oknekana vimeubwa na MUNGU.
Kabla ya wazungu na waarabu kuja
Afrika ,tuliamini kuwa tuna mungu anayetupa
mvua na kutupa ushindi pale tu adui
anapojitokeza.
Katika nchi yangu ya Tanzania yenye
makabila mengi watu na tamanduni zao
waliishi wakiamni MIUNGU WAO(MUNGU)
mungu hao walitoa utaratibu ambao
utekelezwaji wake uko katika mfumo
wa ibada na ujue kuwa MUNGU yeyote
anapenda kuabuduiwa na ziko ibada
nyingi na zimetofautiana ki utaratibu wa
ibada zao kulingana na MIUNGU HAO.
Mfano utaona katika matambiko mabali
mbali ya ibada kulingana na miungu hao
na watu wanaofuata taratibu za ibada
zao,
Wachanga wanataratibu zao na
mitabiko yao
Wahaya wanataratibu zao na ibada zao
Wengi waliamini wakaishi katika
ibada zao na matambiko hayo na wakafanikiwa
kulingana na mahtaji yao
MIUNGU IMEKUWA IKIJIBU MAHITAJI YA
WATU
Nikweli kuwa wengi wamefanikiwa kwa
matabiko na ibada zao,tumesikia watu
wakiua watoto wao wakidai kuwa
wanawatoa kafara katika MIUNGU yao
BAAADA YA WAZUNGU KUJA AFRIKA
Baada ya wazungu kuja afrika
walituletea MUNGU ambaye ni KIRISTO
Ukirsto huo ukaja na tamaduni au
utaratibu katika kuabudu kizuri zaidi yaani
ibada.Ibada hizo pia nyingine zikawa
zimetofautiana sana mfano wazungu
walioleta UROMAN KATHOLIC
wametofautiana kiibada na wale walioleta
UPENTEKOSTE.Kizuri ni kuwa wakaja na
muongozo wa MUNGU HUYO ambao ni
biblia
BIBLIA ni kitabu ambacho kina
muuongoza mkristo ajue afuate MUNGU kwa
asilimia mia,kitabu hicho kimeandikwa
na wanadamu kwa muongozo wa ROHO
MTKATIKFU 2Timotheo 3:16
Kwahiyo neno ndio kiongozi waukirsto
na ufanisi wa maisha ya wakirsto.
Baada ya injili kufika Afrika watu
waliipokea na kungundua uweza na majibu
katika jina la BWANA YESU
BIBLIA NA MUNGU WA KWELI
Biblia ni kitabu kinachoeleza vizur
ibada ya kweli na ibada ipi ambayo
mwanadamu anatakiwa ampatie MUNGU
wake aliye muuumba ili MUNGU
ampatie majibu katika maisha yake.
mbinguni kama malaika na baadae
malaika hao wakaasi nakutupwa kushushwa
kuzimu.
Biblia imeweka wazi kuhusu mapepo na
shetani ambaye ndiye kiongozi wao.
Shetani
ufunuo 12;7-12,
hapa biblia imeemuelezea shetan kuwa
katika mistari hizi
kuwa Yule joka wa zamani aitwae
ibilisi na shetani.....
Shetani alikuwa malaika wa bwana
aliitwa nyota ya alfajiri,pia alikuwa malaika
wa sifa alipinga vinanda kila mara
aliitwa lusifa.
Kiburi kilimushusha shetani kutoka
mbinguni hadi kuzimu yeye alijiiinua akitaka
kumfanana
MUNGU
muubaji akatupwa chini
Isaya14;10-16
.
Ukisoma
ufunuo 12;7-
12
kulikuwa na vita mbinguni;mikaeli na
malaikazake wakapigana na Yule joka nae
akapigana nao pamoja na malaika
zake;nao hawakushinda,wala mahali pao hapakuonekanatena mbinguni Yule joka
akatupwa,Yule mkubwa,nyoka wa
zamani,aitwaye ibilisi na shetani audanganyaye ulimwengu wote;akatupwa hata
nchi,na
malaika zake wakatupwa pamoja naye
....................................................
Shetani alitupwa kuzimu na malaika
zake ambao leo ni mapepo na majini,mizimu
na majinamizi.
Kwahiyo tunaona kuwa mapepo na
majini yakawepo katika dunia
yakiwadanganya wanadamu walio katika
ulimwengu.Kwanini wamepewa miliki
ya kutawala na kuudaganya
ulimwengu.Baada ya shetani na kundi lake kutupwa
katika ulimwengu ambao umeumbwa
kwaajili ya wanadamu na mwanzo kabisa
baada ya MUNGU kuuba ulimwengu
mapepo na majini tayari yalikuwepo duniani
yakirandaranda.
UWEZO NA MAMLAKA YA MAPEPO JUU YA
MWANDAMU
Mapepo hayakuwa na nguvu yeyote juu
ya mwandamu kabisa.Mwanadamu
aliubwa akapewa endeni aitunze na
kutawala wanyama wote na vitu
vyote.MUNGU alikuwa akimtembelea
mwandamu hyo kwahiyo Mungu alikuwa na
mahusiano mzuri na MUNGU wake
aliyemuumba.
Shetani hakuwa na mamlaka yeyote juu
ya mwanadamu..
Ukisoma
mwanzo 3;1
utaona kuwa nyoka alikuwa mwerevu
kuliko wanyama
wote ambao
MUNGU
aliwaumba.Baada ya mwanadamu kupewa
miliki
yakutawala edeni alipewa sheria,amri
ambayo ilimtaka kuwa anaweza kula
matunda ya miti yote lakini matunda
ya mti wa uzima ambao ulikuwa katkati ya
bustani asile asilan kwa sababu
akila atakufa.
Shetani baba wa uongo akaingia ndani
ya Yule nyoka ambae alikuwa na
akili,hekima,busara akaingia ndani
yake na akamudaganya hawa na hawa bila
kujua akala matunda ya ule mti wa
uzima na mume wake naye akala baadae
wakajiona wako uchi
nawakajificha(wakakimbia miliki waliyokuwa wamepewa
watawale wakauza mamlaka yao kwa
matunda kwa shetani ambaye alipokea
utawala kutoka kwa Adamu)
Kwahiyo utawala wote katika dunia
ukawa juu mapepo na majini
JE MAPEPO MASHETANI YANAWEZA
KUBALIKI NA KULINDA WANADAMU
Shetani baada yakupewa mamulaka ya
kutawala akajimilikisha sehemu
mbalimbali katika duni hiii..kwa
ushaidi wa biblia hebu soma
kutoka 7;8-13,8;16-
14
utaona jisi
ambavo FARAO
aliishi na majin wachawi na waganga
ambao
wanatumia nguvu za kishetani kulinda
na kubaliki utawala wake
Katika biblia utaona vile ambavo
wafalme kadha wakadha walitengemea waganga
na wachawi kutabir na juu ya ufalme
wao.
Katika kitabu cha danieli autaona
kuwa katika nchi ya babeli mfalme aliandaa
sanamu kwa ajili ya ibada watu
waaiabudu sanamu hiyo Danieli soma sura 3 yote,
Wafrist walikuwa na mungu wao ambaye
walimwabudu kwa jina aliitwa
DAGON
SOMA 1Samwli 5;1-4..
Kwahiyo wafalume wengi walilindwa
nakubarikiwa na mapepo ambayo
waliyaabudu na kuyatumikia
wafalme 18;22-30
utawaoana manabii wa baali ambao
waliaminiwa na mke wa mfalme
Ahabu JEZEBELI
na utaona jisi walivotoa ibada
wakishindana na MUNGU wa kweli
wakiwa pamoja na Elian a matokeo yake
MUNGU wa Eliya akatukuzwa siku hiyo.
Ukisoma angano la kale utaona
shetani na mapepo yake yakizuia Baraka ambazo
mwanadamu katka dunia alihtaji mfano
kipindi Danieli anaomba kuhusu maono
yake ambayo aliionyeshwa kuhusu siku
za mwisho na dalili zake Danieli10;11-15.
Danieli 10;
13 lakini mkuu wa ufalme wa uajemi
alinipinga siku ishirin na
moja ;bali, tazama ,huyo
mikaeli,mmoja wa hao wakuu wa mbele,akaja
kunisaidia;name nimemwuacha huko
pamoja wafalme wa UAJEMI
....
Katika
msitari huu utaona vile ambavo
mapepo yanautawala ufalme huu wa anga,kwa
maana nyingine anga hili
linamilikiwa na
MASHETANI AMBAO WALIPOKONYA
MAMLAKA YA ANGA KUTOKA KWA ADAMU
PALE ADAMU ALIPOKULA TUNDA
KATIKA BUSTANI YA EDENI
Ukisoma uwa ipo vita katika
waefeso 6;10 -14utaona k kwa
wanawamungu
katika ufalme wa anga msitari wa
12 kwa maana kushindana kwetu si
katika
damu na nyama ;bali ni juu ya falme
na mamlakajuu ya wakuu wa giza hili,juu
ya majeshi
ya pepo wabaya katika ulimwengu wa
roho.
H apa utaona kuwa
mapepo wnamiliki anga hili linalo
tuzunguka katika ulimwengu huu.Ashukuriwe
JEHOVA ambaye ametufunulia siri hii
kuwa tunashindana na pepo wabaya katika
ulimwengu waroho kwa maombi katika
maombi na MUNGU antushindania kwa
sababu Yesu ametupatia mamlaka
katika jina la YESU.Ok ukiangalia
Danieli
10;13
utaona malaika akimwambia danieli
kuwa wakuu wa uajemi wamenipinga siku nyi
ng toka ulipoazimia kuomba tu lakini
mapepo yalipinga
ASHUKURIWE MUNGU
KUWA ALITUMA MALAIKA NA MIKAELI
AKABAKI AKIPAMBANA Na MAPEPO
HAYO YA UAJEMI NA YEYE AMELETA
MAJIBU..
MUNGU alisikia maombi ya Danieli
lakini majeshi ya pepo walipinga na mwisho
yalishindwa na kuacha njia ambayo
malaika alileta majibu kwa Danieli.
MUNGU akubariki sana
ITAENDELEA ...............SEHEMU YA MWISHO.

Comments