
Rais
 mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akipokea 
zawadi kutoka kwa binti wa Mratibu wa Dua maalum ya kuiombea Zanzibar, 
Clare Allen Mbaga walipomtembelea na kumuombea nyumbani kwake Maisara 
ikiwa ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mratibu
 wa Dua Maalum ya kuiombea Zanzibar kwa ajili ya mwaka mpya wa 2014 
Allen Mbaga akizungumza na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Ali Hassan Mwinyi walipomtembelea na kumuombea nyumbani kwake 
Maisara ikiwa ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya 
Zanzibar.
Picha
 ya pamoja ya Kamati maalum ya kuiyombea Zanzibar kwa ajili ya mwaka 
mpya 2014 na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan 
Mwinyi ilipomtembelea nyumbani kwake Maisara ikiwa ni miongoni mwa 
maadhimisho ya miaka 50 ya Mpinduzi ya Zanzibar. (Picha na Makame 
Mshenga- Maelezo Zanzibar).
CHANZO;MICHUZ BLOG

Comments