Baada ya kutoka jijini Arusha, hatimaye huduma ya Mana, inayoongozwa na
Mwalimu Christopher Mwakasege na mkewe Diana, watakuwa kwenye jiji la
Dar es Salaam kuanziaa tarehe 23 Februari, hadi tarehe 2 Machi.
Kama ulikuwa ukimsikiliza tu kwa njia ya mtandao, sasa ni fursa ya
kufika viwanjani hapo ili upate kukua kwa chakula cha kiroho ambacho
Mungu amekuandalia kupitia watumishi wake.

Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12
Comments