Kwako wewe ambaye ulikuwa hujui kuhusiana na albamu yangu ya Ni Shujaa, sasa inapatikana madukani. Jipatie nakala yako sasa. Mungu wangu akubariki |
Wasiliana na Neema Gasper kwa namba 0657400515.
MUNGU akubariki .

Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12
Comments