Ujenzi wa kanisa la Mtume Peter Rashid Abubakar


Mtume Peter Rashid Abubakar

 Mtume Peter Rashid Abubakar ambaye ndiye mwanzilishi wa huduma ya Glory to God Miracle Center(House of Prayer For All Nations) Tanzania jijini Dar es Salaam pamoja na watenda kazi wenzake wa House of Prayer For All Nations Mbezi mwisho wameamua kupanua jengo la kanisa lao kutokana na huduma hiyo kupanuka sana na kuwa na idadi kubwa sana ya waumini.

HILI NI KANISA LIPATIKANALO MBEZI MWISHO YA KIMARA KARIBU NA STEND MPYA MBEZI,LA MTUMISHI ALIEKUA SHEKHE ALHAJI RASHID ABUBAKAR SASA AMEOKOKA.

Karibu katika ibada za uamusho wa kuwafungua watu na kuwaweka huru mbali na dhambi na magonjwa kwa jina kuu la YESU KRISTO Mwenye nguvu

Baadhi ya picha za kuongeza jengo la kuabudia ni hizi.







BWANA YESU alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi.(1 Yohana 3:8b). BWANA anaponya na kufungua watu.

Comments