Yaliyojiri katika sherehe ya miaka 12 ya ATN



Ilikua ni jumapili  ya pekee kwa viongozi wa ATN(Agape Television Network), washirika, marafiki mbalimbali wa huduma hiyo ambayo imetimiza miaka 12.
Watu mbalimbali wamehudhuria katika ibada hiyo ya shukrani iliyotanguliwa na maandamano. ATN ni kituo cha kiroho chenye makao makuu Mbezi jogoo – Dar es salaam na chenye matawi karibu nchi nzima. Kituo hicho ni pamoja na kanisa na kituo cha runinga.
Maaskofu mbalimbali na wachungaji ktunga ndani na nnje ya nchi wamehudhuria sherehe hiyo ambapo pia mwalimu maarufu wa muziki wa Injili afrika mashariki bwana John Shabani pamoja na waimbaji wengine walipamba sherehe hiyo kwa uimbaji.
 



                                               KEKI



 John Shabani akimtumikia Bwana kwa njia ya uimbaji



 Maandamano kuelekea ATN




 

Comments