Askofu mkuu Zachary Kakobe amuandikia barua ya wazi Rais Kikwete na watanzania kwa ujumla kuhusu mchakato wa Katiba mpya
Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel
Bible Fellowship Zachary Kakobe amemuandikia barua ya wazi Rais wa
jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete na kuelezea mambo
mbalimbali ambayo kama kanisa hawajaridhika nayo kuhusiana na mchakato
wa Katiba mpya unaondelea kuanza kwenye uteuzi wa majina ya wajumbe
mpaka sasa.
Barua hiyo inasomeka kama ifuatavyo hapa chini kama blog hii tulivyoipata nakala halisi ya Barua hiyo



chanzo: mjap inc blog
Comments