![]() |
Muonekano wa kitabu cha MAISHA NA HUDUMA YA MOSES KULOLA. |
Katika uzinduzi huo licha ya waumini wengi pamoja na watumishi wengi wa MUNGU kuhudhuria, walikuwepo pia mjane wa marehemu Kulola, Mama Kulola pamoja na Mchungaji Daniel Kulola ambaye ni mtoto wa askofu Kulola.
N i kitabu kinachogusa sana maana huduma ya Askofu Kulola ilikuwa ni muhimu sana katika Kanisa la Tanzania na kupitia huduma hiyo maaskofu na wachungaji wengi maarufu leo ni zao la uinjilisti wa askofu Kulola. BWANA YESU alitenda kazi yake kupitia mtumishi wake Askofu Kulola kwa kiwango cha hali ya juu, Askofu Kulola alitembea Tanzania njia kuhubiri Injili na hadi mwisho wa kufanya kazi ya MUNGU hapa duniani alikuwa anaongoza makanisa zaidi ya 4000.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za uzinduzi wa kitabu hicho kama zilivyoandaliwa na Maisha ya ushindi blog.
![]() |
Maombi tayari kwa kitabu kuzinduliwa |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
uzinduzi |
![]() |
Mama Kulola |
![]() |
Mama Kulola |
Comments