Kituo cha Kwa Neema Fm Radio ndani ya shangwe za maadhimisho ya Miaka minne tangu kuanzishwa kwake


Kituo cha Radio cha Kwa Neema FM Radio cha jijini Mwanza jumapili hii kimefanya sherehe za maadhimisho ya miaka minne tangu kituo hicho kilipoanzishwa na kuanza kwenda hewani kikirusha matangazo yake katika mikoa ya  Kanda ya ziwa matangazo ambayo yamefanyika msaada kwa watu wengi kutokana na mafundisho ya Neno la Mungu ambayo yamekua yakitolewa na kituo hicho. Picha kwa niaba yaMjap inc
Mwanamuziki Flora Mbasha akienda sawa na mashabiki

Maadhimisho ya kituo hicho cha Radio yamefanyika ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kupambwa na uimbaji toka kwa wanamuziki wa nyimbo za injili nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na Flora Mbasha na Emannuel Mbasha,Bahati Bukuku ,na Upendo Nkonne.
Emannuel Mbasha akiwaimbisha umati wa watu uwanjani hapo

sehemu ya wadau wa Radio hiyo wakifatilia mambo uwanjani hapo CCM Kirumba
 


timu ya Watangazaji wa Kwa Neema FM Radio
Flora Mbasha,Bahati Bukuku wakiwa na wadau mbalimbali
 
Bishop Nzwalla wa kanisa la Hossa Christian Center jijini Mwanza akilishwa keki taratiiiiiiibu
watangazaji wa kituo hicho wakijitambulisha kwa watu mbalmbali waliokua wamehudhuria  kwenye sherehe za maadhimisho hayo
Bi Evelyne Buchanagandi kongozi mmojawapo wa kituo hicho akielezea jambo
Pastor Zakayo Nzogere wa kanisa la Mwanza International Community Church nae akapata fursa ya kulishwa Keki 

Comments