Watu wanaojihusisha na masuala ya uganga na ushirikina wameendelea 
kujisalimisha kwa Yesu kufuatia maombi na neno linalohubiriwa katika 
kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Arusha. Hapo jana mwanadada 
Lightness amepeleka vifaa vyake vyote vya uganga na ushirikina kanisani 
hapo ili vichomwe moto kuashiria kwamba hataki kurudi tena katika 
kufanya vitendo hivyo.
Mwimbaji nyota wa muziki wa injli nchini Jackson Benty akiimba katika ibada kanisani hapo ambapo pia huwa anaabudu.

Lightness akiwa amenyanyua vibuyu mbalimbali alivyokuwa akifanyia kazi zake.

Vifaa vya kazi vya Lightness katika picha.

vyote vikawashwa moto na kuteketea.

Mchungaji kiongozi wa kanisa la Arusha Frank Andrew akimsikiliza dada huyo akizungumza.

Wengi walitoka mbele kumpokea Yesu kwasababu ya kuona Mungu alivyotenda kuokoa washirikina.

Baadhi ya umati wa waumini wa kanisa hilo. Picha Ufufuo Crew.

Comments