MSICHANA mwenye umri wa miaka 19, ambaye jina lake halikuweza kupatikana
mara moja, anatapika pesa, vyupa, misumari, mayai na pini akiwa
kanisani nchini Ghana.

Msichana mwenye umri wa miaka 19 anayetapika pesa na vyuma.
Pesa zilizotapikwa na msichana huyo.
Msichana (katikati)akijiandaa kutapika.

Vipande vya misumari vilivyotapikwa na msichana huyo.
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana, msichana huyo alitoweka nyumbani kwao kwa muda wa wiki moja mapema Januari, mwaka huu na aliporejea ndipo alipoanza kufanya vitendo hivyo vinavyohisiwa kuwa vinatokana na imani za kishirikina.
Msichana mwenye umri wa miaka 19 anayetapika pesa na vyuma.
Vipande vya misumari vilivyotapikwa na msichana huyo.
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana, msichana huyo alitoweka nyumbani kwao kwa muda wa wiki moja mapema Januari, mwaka huu na aliporejea ndipo alipoanza kufanya vitendo hivyo vinavyohisiwa kuwa vinatokana na imani za kishirikina.
Credit: Rumafrica
Comments