Nasema asante kwa MUNGU wangu: Sarah K

Jumapili ya leo burudika na wimbo wa Sarah K, uitwao ''NASEMA ASANTE KWA MUNGU WANGU''  Mtukuze MUNGU jumapili ya leo. Mwanadada huyu ni Kutoka nchini kenya na ambaye alianza uimbaji kwa pesa za kukopa lakini MUNGU alimwinua , ukitaka kujua zaidi kuhusu Sarah K FUNGUA HAPA





Comments