Nguvu ya Roho Mtakatifu imeshuka katika jiji la Mbeya kupitia kongamano lililoandaliwa na
wanawake wa WWK wa kanisa la Isanga Sayuni T.A.G. Muhubiri kutoka Tabora Pastor LUTENGANO Mwasongela asisitiza
juu ya uwepo na nguvu ya Roho mtakatifu ndani ya kanisa nguvu ya Roho
mtakatifu ikewepo watu humiliki na kutawala Baraka za Ibrahim .
Pia watu wenye
nguvu za kishetani watafunguliwa kupitia Ibada yenye nguvu ya Roho Mtakatifu
![]() |
Pastor LUTENGANO Mwasongela |
Mapacha walioteswa na nguvu za giza/kishetani kupitia kongamano la WWK isanga Mbeya wafunguliwa na kuachwa huru na vifungo vya shetani
Njoo ushiriki semina hii iliyotawaliwa na nguvu za Mungu
Credit:Ambrose Joseph Chiwinga
Comments