![]() |
Na Mwinjilisti John Chinyuli |
Kibali ni neema ya kukubalika kwa Mungu,watu,wazazi,walimu,viong
Kuna mambo mbalimbali yanayoweza kumfanya mtu apate kibali au radhi au upendeleo,mfano uzuri wa sura,utajiri,cheo,elimu na kadhalika.Lakini kuna mambo ya msingi ambayo yanaweza kumfanya mtu yeyote aweze kupata kibali.
Baadhi ya mambo hayo ni-:
-BIDII
-UAMINIFU
-UNYENYEKEVU
-KIASI
-ROHO YA KUMCHA MUNGU
-UVUMILIVU
-KUWA TAYARI KUJIFUNZA NA KUBADILIKA
-KUOMBA MSAMAHA
-KUSHUKURU
-KUCHUKULIANA
-UWE MWEPESI WA KUSAMEHE
-USAFI
-UWE MTU MWEMA
-KAULI NZURI
"Basi Mungu alimjalia Daniel kupata kibali na huruma machoni pa huyo mkuu wa matowashi"-Daniel 1:9-
MUNGU akubariki sana.
By Mwinjilisti John Chinyuli
0767 592989/0712 592989
Comments