Mama huyu ashuhudia kanisani jinsi alivyompata mtoto huyo kwa kuwasiliana na Mtume. Rashid Abubakar kwa njia ya WhatsApp mara tu alipochukua namba yake ya simu kupitia Radio WAPO jijini Dar es salaam alimtabiria atazaa mtoto wa kiume kilo 5 kasoro nne na ataitwa Peter na ikawa imetokea hivyo. Jamani hakuna kwenda Nigeria etc. kutafuta nInI!!!? Karibu Glory to God Miracle Center(House of Prayer For All Nations).Mbezi Mwisho kwa mtumishi wa MUNGU Mtume. Rashid Abubakar

Bila kumsahau Masai naye atikisa kwa wimbo wake usemao HAJAFUATA MIUJIZA LAKINI AMEMFUATA YULE YESU AMBAYE NDIYE MTENDA MIUJIZA!

Bila kumsahau mwimbaji mwenye upako Martha Baraka naye awainua waumini waliochini ya Mtume. Rashid kucheza na vigelegele vya kupimwa kwa furaha ya Roho Mtakatifu Albam ya wimbo wake ukiwa umetanda mbingu na jopo la malaika wakishangilia kwa wimbo usemao: SUBIRA YAVUTA KHERI HATA MAMBO YA ROHONI YATAKA SUBIRA

Mwanamke huyu ashuhudia jinsi alivyonusurika kuchukuliwa kwa kifo cha Bandia( Msukule) Lakini Nabii Peter Rashid Abubakar alipoonyeshwa na MUNGU alikifuta kifo hicho kwa jina la YESU KRISTO. Unaona!! Hiyo ndio raha ya kuwa chini ya Nabii wa Mungu mwenye macho ya rohoni.

![]() |
Watu wengi saana wafunguliwa katika kanisa la Glory to God Miracle Center(House of Prayer For All Nations). Mbezi Mwisho jijini Dar es salaam. |
Comments