Addo November akienda Sawa na Upendo Kilahiro
|
Mamia ya wakazi wa jiji la Dar-es-Salaam waliojitokeza katika Live Recording hiyo walionekana wakimwabudu Mungu Muda wote wa Ibada hiyo ya kusifu na Kuabudu.
picha za tukio hilo ni kama zinavyoonekana hapa chini.
| Ma Mc wa Event Pastor Mwita pamoja na Double G, Godwin Gondwe wakienda sawa |
Mpiga Saxerphone Maarufu Mise Anaeli akienda sawa katika Live Recording ya Upendo Kilahiro
|
| Mise Anaeli akikamua tarumbeta |
| Mise akienda sawa na Upendi Kilahiro |
Music Arranger Samuel Yona akiwa kikazi zaidi
|
| Fredy Msungu akiwa anaenda Sambamba na Addo na Upendo Kilahiro |
| Wadau wa Muziki wa Injili Wakiwa ndani ya Ukumbi |
| The Voice Wakiimba Acapella Upendo Kilahiro |
Credits:Samsasali blog
Comments