Athari mbaya zilizosababishwa na mafuriko ya mvua jijini Dar es salaam.







Mvua zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya mikoa hasa jijini Dar es salaam, zimesababisha uharibifu mkubwa kwa baadhi ya maeneo, makazi ya watu na hasa wakazi wa mabondeni..


Zifuatazo ni picha za matukio hayo ya mafuriko ya maji.
Bunju mwisho hapo... poleni sana ndugu zetu mnaotumia daraja hiloPicha: SHALOM,
HALELUYA..
Tazama mvua za Dar,
"Sijui itawakaa? "
Hapa ni ulongoni, Gongolamboto.

MUNGU awalinde wote wanaopitia katika wakati huu mgumu.

Comments