JE UNATAKA MUNGU AKUTENDEE NINI?

Kama ungepata muda ukawauliza watu mmoja baada ya mwingine kuhusu hili swali ungeshangaa sana majibu yake!

 ila mimi kwa jinsi ninavyofikilia wengi wangeomba fedha na utajiri!, 

Hebu angalia mtu huyu alipoulizwa na Mungu kwamba angependa Mungu ampe nini alivyojibu!,  

 Na Alex.
"2NYAKATI 1:7-12 Usiku ule MUNGU akamtokea Sulemani akamwambia omba utakalo nikupe, Basi sasa nipe hekima na maarifa nijue jinsi ya kutoka na kuingia mbele ya watu hawa,  Naye MUNGU akamwambia sulemani kwa sababu neno hili lilikuwemo moyoni mwako, wala hukujitakia mali, wala utajili, wala utukufu, wala maisha ya wachukiayo, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi bali umejitakia hekima na maarifa upate kuwahukumu watu wangu niliokutawaza juu yangu,  Basi hekima na maarifa umepewa." 

 Huyo ni Sulemani, je wewe ungeulizwa ungeomba nini? nakupa home work jaribu kuuliza watu wengi swali hili utashangaa majibu yake.
 Hitimisho Sulemani aliomba hekima na maarifa lakin MUNGU alimpa zaidi yaani utajiri na mali.!

MUNGU akubariki sana kwa tafakari hii. 
By Mtumishi Alex.

Comments