Yuko mtu nayetumia jina la Rose Muhando kutapeli watu kupitia mtandao wa
facebook,mtu huyu ambaye amesha waumiza watu wengi kutokana na utapeli
wake wakutumia (JAKAYA FAUNDATION).Siku ya jana niliweza kuchati naye na
kubaini hilo mdau wangu......blog ilimtafuta Rose Muhando na
kututhibitishia yuko na account moja iliyofunguliwa na kampuni ya SONY
MUSIC ENTERTAINMENT ambayo kwa sasa anafanyanayo kazi kwa mkataba wa
miaka mitano.Hivyo basi mdau wangu account zingine zote siyo za Rose
Muhando kuwa makini na mitandao ya kijamii kwani matapeli wamo.
Utapeli mtupu mwee!!
Hii ndio offical page ya Rose Muhando inayomilikiwa na kampuni ya Sony Music intertainment. Maelezo zaidi ya Biography.
Comments